Chama Cha Mapinduzi CCM kilijikuta ndani ya wakati mgumu kaatika kuchagua mtu atakayeipeperusha bendera ya Chama hicho kwa ajili ya kuwa mgombea uraisi mwaka huu. Kutokana na kusoma nyakati CCM iliona vema kumvisha Mh. John Magufuli dhamana hiyo.
Kikubwa Watanzania wenzangu ni kumwombea ili wote wenye hila mbaya na yeye mambo yao yasifanikiwe.
Thursday, 16 July 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)
AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA
AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA : Kwa wakazi wa Tabora na mikoa jirani, ni habari njema kwenu kwa uwepo...
-
Kwa wakazi wa Tabora na mikoa jirani, ni habari njema kwenu kwa uwepo wa studio mpya ya kisasa yenye vifaa vyenye ubora wa hali ya juu ili k...
-
Kwa wadau wote wa vyombo vya habari. Ni wakati umefika sasa wa vyombo vyetu vya habari kurusha vipindi vya redio na televisheni kwa zaidi y...
-
Generally the training was good. I had a problem with my blog that took almost that whole first and second training. With the help of the f...