Friday 26 January 2018

UZINDUZI WA MSF - MAGANGA FAMILY STUDIO

Kesho tarehe 27/01/2018 kutakuwa na uzinduzi wa studio, ijulikanayo kama Maganga Family Studio. Studio iko eneo la Ipuli Mkoa wa Tabora.

Karibuni Saana.

AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA

AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA : Kwa wakazi wa Tabora na mikoa jirani, ni habari njema kwenu kwa uwepo...