Thursday 16 July 2015

CCM WASOMA NYAKATI

Chama Cha Mapinduzi CCM kilijikuta ndani ya wakati mgumu kaatika kuchagua mtu atakayeipeperusha bendera ya Chama hicho kwa ajili ya kuwa mgombea uraisi mwaka huu. Kutokana na kusoma nyakati CCM iliona vema kumvisha Mh. John Magufuli dhamana hiyo.
Kikubwa Watanzania wenzangu ni kumwombea ili wote wenye hila mbaya na yeye mambo yao yasifanikiwe.

AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA

AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA : Kwa wakazi wa Tabora na mikoa jirani, ni habari njema kwenu kwa uwepo...