Saturday 3 February 2018

MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA

Kwa wakazi wa Tabora na mikoa jirani, ni habari njema kwenu kwa uwepo wa studio mpya ya kisasa yenye vifaa vyenye ubora wa hali ya juu ili kukupa ubora wa kazi yako.

Hivyo basi hukuna haja kusafiri kwenda mbali ili kupata huduma ya kurekodi audio na video kwa huduma hii imefika karibu yako.

Studio ina wafanyakazi wenye ujuzi na uzoefu katika kazi na rafiki kwa wateja.

MF studio iko Ipuli karibu kabisa na shule ya St. Francis.






1 comment:

AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA

AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA : Kwa wakazi wa Tabora na mikoa jirani, ni habari njema kwenu kwa uwepo...