Saturday, 3 February 2018
AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA
AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA: Kwa wakazi wa Tabora na mikoa jirani, ni habari njema kwenu kwa uwepo wa studio mpya ya kisasa yenye vifaa vyenye ubora wa hali ya juu ili k...
MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA

Hivyo basi hukuna haja kusafiri kwenda mbali ili kupata huduma ya kurekodi audio na video kwa huduma hii imefika karibu yako.
Studio ina wafanyakazi wenye ujuzi na uzoefu katika kazi na rafiki kwa wateja.
MF studio iko Ipuli karibu kabisa na shule ya St. Francis.
Thursday, 1 February 2018
Uandaaji wa makala, vipindi vya redio na telesheni
Kwa wadau wote wa vyombo vya habari.
Ni wakati umefika sasa wa vyombo vyetu vya habari kurusha vipindi vya redio na televisheni kwa zaidi ya asilimia 60.
Kwa wamiliki wa redio na televisheni stesheni karibuni RAV Media ili muweze kujipatia vipindi vitakavyojaza nafasi ambazo zilikuwa hazipata vipindi husika.
Tunatamani kuwa waandaaji na wazalishaji wa vipindi vya kutosha hapa Tanzania.
Karibuni sana.

Friday, 26 January 2018
UZINDUZI WA MSF - MAGANGA FAMILY STUDIO
Kesho tarehe 27/01/2018 kutakuwa na uzinduzi wa studio, ijulikanayo kama Maganga Family Studio. Studio iko eneo la Ipuli Mkoa wa Tabora.
Karibuni Saana.
Karibuni Saana.
Subscribe to:
Posts (Atom)
AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA
AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA : Kwa wakazi wa Tabora na mikoa jirani, ni habari njema kwenu kwa uwepo...
-
Kwa wakazi wa Tabora na mikoa jirani, ni habari njema kwenu kwa uwepo wa studio mpya ya kisasa yenye vifaa vyenye ubora wa hali ya juu ili k...
-
Kwa wadau wote wa vyombo vya habari. Ni wakati umefika sasa wa vyombo vyetu vya habari kurusha vipindi vya redio na televisheni kwa zaidi y...
-
Generally the training was good. I had a problem with my blog that took almost that whole first and second training. With the help of the f...