Kwa wadau wote wa vyombo vya habari.
Ni wakati umefika sasa wa vyombo vyetu vya habari kurusha vipindi vya redio na televisheni kwa zaidi ya asilimia 60.
Kwa wamiliki wa redio na televisheni stesheni karibuni RAV Media ili muweze kujipatia vipindi vitakavyojaza nafasi ambazo zilikuwa hazipata vipindi husika.
Tunatamani kuwa waandaaji na wazalishaji wa vipindi vya kutosha hapa Tanzania.
Karibuni sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA
AUDIO, PHOTO & VIDEO PRODUCTION: MUONEKANO WA MF STUDIO - TABORA : Kwa wakazi wa Tabora na mikoa jirani, ni habari njema kwenu kwa uwepo...
-
Kwa wakazi wa Tabora na mikoa jirani, ni habari njema kwenu kwa uwepo wa studio mpya ya kisasa yenye vifaa vyenye ubora wa hali ya juu ili k...
-
Kwa wadau wote wa vyombo vya habari. Ni wakati umefika sasa wa vyombo vyetu vya habari kurusha vipindi vya redio na televisheni kwa zaidi y...
-
Generally the training was good. I had a problem with my blog that took almost that whole first and second training. With the help of the f...
No comments:
Post a Comment